Sunday, June 25, 2017

UZINDUZI WA KAMPUNI RASMI TAREHE 15/ 06/ 2017


Tarehe 15/6/2017 namshukuru mungu niliazisha kampuni yangu nikiwa pekeangu na akaongezeka braza shakuru na injinia ndaki manyama ni branza wangu pia nimezalisha ajira kutoka mtwara dar Dodoma na tanga mjini ninawafanyakazi kumi na mbili na kampuni inamafanikio makubwa nimepata nyumba mbili na gari tatu na ofs na godauni ivi avikuja kimzaa juhudi zangu na makampuni tuliongia nao makubalino ya kufanya kazi nao ukweli nashukuru mungu Ila si jambo jepesi wapendwa na umoja na kama kunamtu ananidai au anaidai kampuni ajee ofsni au aende kituo cha polis chumbageni atanipata kwa urais nafamika tanga au kama mtuu niliwai kuchukua haki yake au luga nyepesi alitapeliwa na mimi au kampuni kwani mimi sijakamilika kuliko kuzua kitu kisicho cha kweli kwangu mimi ni kijana nimeamua kuzalisha ajira za watanzania wezangu naomba mnisamee kama nimewakosea karibuni no 0712283000/0784283000/ jina saidi s muahamedi.

No comments:

Post a Comment

GODAUNI LA KAMPUNI YA SAID S MOHAMED

Godauni la kampuni ya SAID S. MOHAMED linalo patikana pangani Road Tanga kwa maitaji ya Oil za aina zote na spear za magari na...