Sunday, June 25, 2017

SEMINA YA TOTAL TANGA





Semina ya Total mkoa wa tanga iliyofanyika ukumbi wa Rego Naivera Tanga kwaajili ya kuitambulisha kampunia ya SAID S. MOHAMED COMPANY kuwa msambazaji wa mafuta ya Total mkoa wa tanga iliyo andalia chini ya usimamizi wa TOTAL COMPANY TANZANIA na SAID S. MOHAMED COMPANY TANGA.

No comments:

Post a Comment

GODAUNI LA KAMPUNI YA SAID S MOHAMED

Godauni la kampuni ya SAID S. MOHAMED linalo patikana pangani Road Tanga kwa maitaji ya Oil za aina zote na spear za magari na...