Sunday, June 25, 2017

MAKUBALIANO BAINA YA KAMPUNI YA ERIC SHIGONGO OIL COMPANY NA SAID S. MOHAMED COMPANY



Mungu ni mwema kwenye kampuni yangu leo tena nikifurahia na mkurugezi Eric shigongo managing director wa shigongo Oli Co. Ltd tukifurahia mkataba wetu wa kuwa agent wake tanga kuuza mafuta dizeli na petrol sasa vijana wa tanga tuungane tufanye kazi.

No comments:

Post a Comment

GODAUNI LA KAMPUNI YA SAID S MOHAMED

Godauni la kampuni ya SAID S. MOHAMED linalo patikana pangani Road Tanga kwa maitaji ya Oil za aina zote na spear za magari na...