Sunday, June 25, 2017

GODAUNI LA KAMPUNI YA SAID S MOHAMED





Godauni la kampuni ya SAID S. MOHAMED linalo patikana pangani Road Tanga kwa maitaji ya Oil za aina zote na spear za magari na pikipiki za aina zote wasiliana nasi kwa simu nambari 0712 283000

SEMINA YA TOTAL TANGA





Semina ya Total mkoa wa tanga iliyofanyika ukumbi wa Rego Naivera Tanga kwaajili ya kuitambulisha kampunia ya SAID S. MOHAMED COMPANY kuwa msambazaji wa mafuta ya Total mkoa wa tanga iliyo andalia chini ya usimamizi wa TOTAL COMPANY TANZANIA na SAID S. MOHAMED COMPANY TANGA.

MAKUBALIANO BAINA YA KAMPUNI YA ERIC SHIGONGO OIL COMPANY NA SAID S. MOHAMED COMPANY



Mungu ni mwema kwenye kampuni yangu leo tena nikifurahia na mkurugezi Eric shigongo managing director wa shigongo Oli Co. Ltd tukifurahia mkataba wetu wa kuwa agent wake tanga kuuza mafuta dizeli na petrol sasa vijana wa tanga tuungane tufanye kazi.

UZINDUZI WA KAMPUNI RASMI TAREHE 15/ 06/ 2017


Tarehe 15/6/2017 namshukuru mungu niliazisha kampuni yangu nikiwa pekeangu na akaongezeka braza shakuru na injinia ndaki manyama ni branza wangu pia nimezalisha ajira kutoka mtwara dar Dodoma na tanga mjini ninawafanyakazi kumi na mbili na kampuni inamafanikio makubwa nimepata nyumba mbili na gari tatu na ofs na godauni ivi avikuja kimzaa juhudi zangu na makampuni tuliongia nao makubalino ya kufanya kazi nao ukweli nashukuru mungu Ila si jambo jepesi wapendwa na umoja na kama kunamtu ananidai au anaidai kampuni ajee ofsni au aende kituo cha polis chumbageni atanipata kwa urais nafamika tanga au kama mtuu niliwai kuchukua haki yake au luga nyepesi alitapeliwa na mimi au kampuni kwani mimi sijakamilika kuliko kuzua kitu kisicho cha kweli kwangu mimi ni kijana nimeamua kuzalisha ajira za watanzania wezangu naomba mnisamee kama nimewakosea karibuni no 0712283000/0784283000/ jina saidi s muahamedi.

Thursday, June 22, 2017

KWA MAITAJI MAZURI YA BIDHAA MBALIBALI NA MAFUTA BORA KARIBU SAID S MOHAMED COMPANY






SAID S. MOHAMED COMPANY WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA OIL ZA AINA ZOTE



SAID S. MOHAMED COMPANY WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA OIL ZA AINA ZOTE PIA WANAUZA SPEA ZA MAGARI NA MASHINE MBALIMBALI TUNAPATIKANA BARABARA YA 16 KWA BARABARA YA JAMAA MKABALA LA OFISI YA KADHI TANGA MAWASILINO ZAIDI NO; 0712-283000


Said S. Mohamed company now we are under contract with both TOTAL TANZANIA LIMITED and MOGAS TANZANIA LIMITED selling and distribution of lubrication, fuels.


Said S. Mohamed company draws its wide range of market in Tang region, we deals both with wholesalers and retailer of our product, blending diverse expertise with keen foresight to develop innovative solution and mitigate project implementation risk.we serve a wide range costumer including;

Located at street 16/17 Mkwakwani road plot no 101 block 55Tanga Tanzania.

GODAUNI LA KAMPUNI YA SAID S MOHAMED

Godauni la kampuni ya SAID S. MOHAMED linalo patikana pangani Road Tanga kwa maitaji ya Oil za aina zote na spear za magari na...